Au tuma neno BimaPap kwenda +255764166066

Kuhusu BimaPap

Huduma ya BimaPap inapatikana kipekee na kiurahisi kwa kutumia WhatsApp

BimaPap ni mfumo wa kidijitali wa bima unaokupatia uhuru na urahisi wa kujihudumia kununua (bidhaa za) bima, kudai fidia na kupata maelekezo
Kwa kutumia BimaPap unakuwa huru na uwezo:

1. kuthibitisha uhalali wa bima yako ;

2. kujisajili kukumbushwa tarehe ya kuisha bima yako;

Tunatoa

Third-Party / Bima Ndogo

Karibu BimaPap suluhisho na huduma ya kwanza nchini ya kujihudumia bima. Kuendesha chombo cha usafiri barabarani bila bima ndogo ni kuvunja sheria. Endelea sasa kujihudumia bima kwa haraka ili chombo chako cha usafiri kiwe salama barabarani.

Bima za Aina Nyingine kuja Karibuni
image

Bima ya Safari

Je unasafiri kwenda nje ya nchi? Sasa BimaPap inakupa uhuru wa kujihudumia bima ya safari muda wowote na sehemu yoyote. Pokea bima yako papo hapo ulipo kwenye WhatsApp na barua pepe (e-mail) yako. Kujihudumia sasa tuma neno BimaPap kwenda +255764166066

image

Faida

Faida za BimaPap ni kama zifuatazo

It is fitted to provide you easy to use, comfortable and secure self-service insurance;
2. Gains you more needed valuable time to do other duties;
3. Removes expenses and hassle related with you seeking insurance service using traditional ways;
4. Instantly accessible 24 hours throughout the year for you to buy insurance; notify & register a compensation claim and seek general insurance query;
5. Always accessible anywhere in Tanzania and the world;

image

Omba Bima yako leo

Nunua Kupitia WhatsApp

Bofya na ufuate maelekezo ya mepesi kujipatia huduma ya bima

Taratibu za Malipo

Kulipia kwa M-PESA

JINSI YA KULIPA KWA

Vodacom

 • Piga: *150*00#
 • Chagua 4: Lipa kwa Mpesa
 • Chagua 4: Weka namba ya kampuni
 • Weka namba ya kampuni: 888999
 • Weka kumbukumbu namba ya malipo
 • Weka kiasi cha pesa:
 • Weka namba ya siri ****(NMB)
Kulipia kwa Tigo Pesa
 

JINSI YA KULIPA KWA

Tigo

 • Piga: *150*01#
 • Chagua 4: Lipa Bili
 • Chagua 3: Ingiza namba ya Kampuni
 • Ingiza namba ya kampuni: 888999
 • Weka kumbukumbu namba:
 • Ingiza kiasi cha pesa:
 • Weka namba ya siri ****(NMB)
Kulipia kwa Airtel Money

JINSI YA KULIPA KWA

Airtel

 • Piga: *150*60#
 • Chagua 5: Lipia Bili
 • Chagua 4: Weka namba ya Kampuni
 • Andika namba ya Biashara: 888999
 • Ingiza kiasi cha pesa
 • Ingiza namba ya Kumbukumbu:
 • Weka namba ya siri ****(NMB)
Kulipia kwa TTCL

JINSI YA KULIPA KWA

TTCL

 • Piga: *150*71#
 • Chagua 4: Lipa Bili
 • Chagua 4: Kumbukumbu Namba
 • Ingiza namba ya Kumbukumbu:
 • Weka Akaunti Namba: 888999
 • Weka kiasi cha pesa:
 • Weka namba ya siri ****(NMB)

Tembelea Kurasa Zetu za Social Media

34k

watumiaji

2k

Wateja Walioridhika

1k

Watumiaji Wapya

437

Maelezo ya wateja

map

Tuandikie meseji

Milembe Insurance Company Limited
VIVA TOWERS Ghorofa Na. 2, Chumba Na.2
Barua Pepe: info@milembeinsurance.com
Simu: +255 (22) 2103426
Masaa ya Kazi: 8:00am - 4:00pm

Message Sent
Sorry, Message Not Sent. Try again later.