United Kingdom visa travel insurance

TRAVEL INSURANCE ( BIMA YA SAFARI ): Baada ya janga la Coronavirus kupungua anga za ndege kwenye nchi nyingi duniani zimefunguliwa ikiwemo ya Tanzania. Tunajua utakuwa kwenye tovuti za balozi ya nchi husika ukitafuta visa ya kusafiri kwenda huko kwa sababu mbalimbali. 

Kwa kutambua hili BimaPap sasa imeleta huduma ya kipekee ya Bima ya Safari (Travel Insurance) ambayo imeanza kupatikana rasmi kuanzia Juni 29 2020 kwa kutumia WhatsApp. BimaPap inazidi kukujali ewe mteja na kuthamini muda wako kwa kuhakikisha hupati usumbufu na kuingia gharama zisizo za lazima kama ilivyo sasa na huduma zingine za bima ya safari. Kwa kutumia BimaPap utapata bima yako ya safari (travel insurance) mara moja hapo ulipo kwenye WhatsApp ya simu yako na pia barua pepe yako (email address). Hauna haja ya kwenda kwenye ofisi yoyote ya bima kujipatia bima hii.  

Kujipatia bima yako sasa hivi jipendelee kwa kutuma neno BimaPap kwenda 0764166066 na kisha ujihudumie bima kwa uwepesi bila stress. Hauna haja ya kwenda kwenye ofisi yoyote ya bima kujipatia bima hii. Kwa msaada zaidi piga 0766424205

Leave A Comment

Barua-pepe haitachapishwa.

Subscribe today

Subscribe our Newsletter

Dolor sit Mollitia harum ea ut eaque velit.

Trending now

Popular Blog Posts

Dolor sit Mollitia harum ea ut eaque velit.